Posts

MAGAZETI YA LEO TAREE 27 NOVEMBA 2017.

Image

WAWEKEZAJI WAVUTIWA KUWEKEZA PWANI.

Image
Picha ya pamoja baina ya wawakilishi wa makampuni ya uwekezaji kutoka nchini China na viongozi wa mkoa wa Pwani akiwemo mkuu Wa Mkoa huo mhandisi Evarist Ndikilo wa katikatika kati ya walioketi, Na wa kwanza kulia aliekalia kiti ni katibu tawala mkoani hapo Zuberi Samataba na wa kwanza kulia ni mmoja wa wawekezaji hao aitwae Liv Ming . .......................... Na Mwamvua Mwinyi, Kibaha. WAWAKILISHI wa makampuni ya uwekezaji toka nchini China ,waliofika mkoani Pwani kuangalia fursa za uwekezaji ,wamefurahishwa na kuvutiwa na fursa nyingi walizoziona na kuonyesha nia ya kuwekeza. Aidha wameeleza watatuma wataalamu wao watakaojua wawekeze kwenye sekta gani kati ya maeneo na sekta waliyoonyeshwa ili kujiletea manufaa. Wakizungumza baada ya kumtembelea mkuu wa mkoa wa Pwani ,Mhandisi Evarist Ndikilo walieleza, baada ya kuonyeshwa maeneo hayo ya uwekezaji kwa njia ya video ,wameguswa na kufurahishwa kuwekeza mkoani hapo. Mmoja wa wawakilishi wa wawekezaji ...

MAGAZETI YA LEO TAREHE 23 NOVEMBA 2017.

Image