Posts

MAGAZETI YA LEO TAREHE 28 AGOSTI 2017.

Image

WAVAMIZI MSITU WA ZIGUA WAONDOLEWA.

Image
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Plisi wilaya ya Kipolisi Chalinze, Mrakibu Mandamizi wa Polisi, SSP. Janet Magomi, katikati ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Handeni, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, SSP. William Alloyce Nyello, wa kwanza kulia ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Kilindi, Mrakibu wa Polisi, SP. Richard Nyansamdo, ambao kwa pamoja walishirikiana kuwaondoa wavamizi ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Zigua.  Mwenyekiti wa kamati ya kuondoa wavamizi katika msitu wa Zigua iliyoundwa na wilaya tatu za Kilindi, Handeni na Bagamoyo, Alhaji majid Mwanga, akizungumza wakati wa kufunga   oparesheni maalum ya kuondoa wavamizi ndani ya msitu wa Zigua. ............................................. Watendaji wa vijiji na Kata, Wenyeviti wa Vijiji na Vitongoji Pamoja na Maafisa Tarafa wa Wiaya za Kilindi, Handeni na Bagamoyo wametakiwa kuitisha mikutano ya Vijiji ili kutoa Elimu ya Kuhifadhi Msitu wa Zigua ambao kwa muda mrefu umekuwa ukivamiwa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenye...