Posts

RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kabla ya kuanza kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongoza Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016.   Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea mara baada ya kumalizika kwa Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 29, 2016 PICHA ZOTE NA IKULU

WATANZANIA WATAKIWA KUEPUKA VYAKULA VISIVYO BORA KUEPUKA UGONJWA WA MOYO

Image
Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janabi. ...................................... Ulaji wa vyakula visivyo bora husababisha maradhi ya magonjwa ya moyo kwa watu wazima wa miaka 45 hadi 60 huku watoto wadogo pia wamegundulika kuwa ni miongoni mwa waathirika wa ugonjwa wa moyo, wanaoupata kutokana na kurithi kutoka kwa wazazi wao.   Hayo yamebainishwa leo Jijini Dar es Salaam  na Msemaji Mkuu wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Bw. Maulid Kikondo wakati wa maadhimisho ya  siku ya moyo duniani ambapo kitaifa ilifanyika katika taasisi hiyo. Kikondo alisema kuwa katika kuadhimisha siku hiyo Taasisi hiyo imeamua  kupima wagonjwa wa moyo bure ili kuwasaidia wananchi kuweza kufahamu njia bora za kuweka kukabiliana na magonjwa hayo. Kikondo alisema kuwa wazee na watoto hupata maradhi ya moyo kwa wingi nchini kutokana kula vyakula visivyo na mpangilio pamoja na kukosa kufanya mazoezi kwa muda mrefu. “Ugonjwa w...