Saturday, July 31, 2021

MHE. RAIS SAMIA APOKEA NDEGE MPYA AINA YA BOMBADIER DASH 8-Q400

 No description available. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria kupokea Ndege Mpya aina ya Bombadier DASH 8-Q400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania na kukodishwa kwa  Shirika la Ndege la ATCL ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 30  Julai, 2021. Wa pili kushoto ni Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango na wa tatu kulia ni waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa.

No description available.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasalimia Wananchi waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kumuunga Mkono kwenye mapokezi ya Ndege Mpya aina ya Bombadier DASH 8-Q400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania na kukodishwa kwa  Shirika la Ndege la ATCL ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam tarehe 30  Julai, 2021.

 No description available.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kupokea Ndege Mpya aina ya Bombadier DASH 8-Q400 iliyonunuliwa na Serikali ya Tanzania na kukodishwa kwa  Shirika la Ndege la ATCL ilipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30  Julai, 2021. IKULU.

 

 

Friday, July 30, 2021

RC KUNENGE AONGOZA WAKAZI WA MKOA WA PWANI KUPATA CHANJO YA UVIKO 19

 May be an image of 3 people, people sitting and people standing

Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhe. Abubakar Kunenge, Mkuu wa Mkoa wa Pwani amepata chanjo ya UVIKO 19 leo Julai, 30 2021.

 

Akichanjwa chanjo hiyo katikà viwanja vya kituo cha Afya cha Mkoani, Kibaha Mjini kunenge amewaasa Wanachi wa Mkoa huo kuwa ugonjwa upo na kuwataka kuchukua tahadhari wakati wote, amewataka Kuvaa barako, kunawa mikono na kuepuka mikusanyiko isiyo lazima.

 

Amemshukuru Mhe Rais kwa kupata chanjo, "nimechanja kwa hiari yangu mwenyewe mpaka sasa najisikia vizuri sijaona shida yeyote"

 

 

"Wananchi waje wachanje kwa hiari yao tunachotafuta ni salama" tumepata chanjo kidogo tunaendelea kuratibu upatikanaji wa nyingi zaidi na tutaitoa bila usumbufu. "Chanjo hii kwa sasa itatolewa kwa makundi ya Kipaumbele alisema Kunenge.

May be an image of 1 person, child, sitting and outdoors

Thursday, June 17, 2021

MADIWANI WA BAGAMOYO WATEMBELEA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MJINI DODOMA.

May be an image of 8 people, including Maine Masukuzi, people sitting and indoor

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bgamoyo, Mohamed Usinga akiongoza msafara wa Madiwani wa Halmashauri hiyo kutembelea ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa ukaribisho maalum wa Mbunge wa Bagamoyo, Muharam Mkenge.

May be an image of 19 people, including Abdul Pyalla and people standing 

Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo, wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, pamoja na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallaah Ulega, nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya Madiwani hao kutembelea bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge.

May be an image of 2 people and people standingMay be an image of 11 people and people standing

Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo, wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya madiwani hao kutembelea Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge.

May be an image of 6 people, including Abdul Pyalla and people standing 

Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge. (kulia) akitoa akiwatambulisha wageni wake (Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo) kwa Wawaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi pamoja na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallaah Ulega mara baada ya Madiwani hao kutembelea Bungeni.

May be an image of 7 people, people standing and outdoors  

Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo, wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge pamoja na Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, nje ya ukumbi wa Bunge.