MHE. SUBIRA MGALU AFANYA ZIARA KITONGOJI CHA UDINDIVU, KATA YA MAPINGA

 

MHE. SUBIRA MGALU AFANYA ZIARA KITONGOJI CHA UDINDIVU, KATA YA MAPINGA


Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Mhe. CPA. Subira Khamisi Mgalu, 2026, amefanya ziara katika Kitongoji cha Udindivu, Kata ya Mapinga, ambapo amekutana na wananchi, kusikiliza kero zao na kutoa ufafanuzi kuhusu masuala mbalimbali yanayowakabili.


Katika ziara hiyo, Mhe. Mgalu amechangia Shilingi 800,000 kuunga mkono juhudi za wananchi katika ujenzi na uboreshaji wa miundombinu ya barabara, ambayo wananchi wamekuwa wakiendelea kuifanyia kazi katika kitongoji hicho.


Aidha, amewataka wananchi hao kuendelea kuchukua tahadhari na kujiandaa kwa mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha, hususan katika kipindi hiki cha tahadhari ya El NiΓ±o.






Comments

Popular posts from this blog

CHALINZE KUPELEKA MILIONI 80, KUJENGA VYUMBA VYA MADARASA TALAWANDA.

VEDMA KUCHONGA BARABARA KIMANGE - PONGWE MNAZI

I-NEC YATOA MAFUNZO KWA WATENDAJI WA UCHAGUZI

MATOKEA DARASA LA SABA 2018 HAYA HAPA.

WAZIRI AWESO ATOA WIKI MBILI MRADI WA MAJI NACHINGWEA KUANZA KUTOA HUDUMA

SHEKHE JONGO AKEMEA CHUKI ZA UDINI

BAKWATA TABORA WAPONGEZWA KUANZISHA MRADI WA KITEGA UCHUMI

TUWASA YABORESHA UTOAJI HUDUMA KWA WATEJA