Monday, October 10, 2016

SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI AZUNGUMZA NA WAANDISHI.

b1
Spika wa Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega katikati  akizungumza na Waandisahi wa Habari wa Vyombo mbalimbali katika mkutano wa kuzungumzia maswala ya Bunge katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Mbweni Zanzibar.Wamwanzo ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania Makongoro Nyerere na wamwisho ni Mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Rwanda Patricia Hajabakiga.
 b3

Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Mkutano wa Spika wa Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
 b4

Mwandishi mwandamizi Salim Said Salim akiuliza maswali katika Mkutano wa Spika wa Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.
 b5

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Makongoro Nyerere akifanya mahojiano na Mwandishi wa Radio Dochwelle Salma Said katika Mkutano wa Spika wa Bungue la Afrika Mashariki Daniel Fred Kidega kuzungumzia maswala ya Bunge katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mbweni Zanzibar.


WAZIRI MWIGULU ALA KIAPO CHA KUWA MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI YA JESHI LA POLISI NA MAGEREZA

c1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akila kiapo cha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Ferdinand Wambali (katikati) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Kushoto ni Naibu Msajili Mwandamizi wa Mahakama Kuu, Eva Nkya.
 c2

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza mbele ya Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Ferdinand Wambali (katikati) jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza. Kushoto ni Naibu Msajili Mwandamizi wa Mahakama Kuu, Eva Nkya.
 c3

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba (kulia) akipokea hati ya kiapo kutoka kwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mheshimiwa Ferdinand Wambali mara baada ya Waziri huyo kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi na Magereza, jijini Dar es Salaam leo. Tume hiyo inashughulikia masuala ya kiutumishi kwa askari Polisi na Magereza.

Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.