Mwenyekiti wa Halmashauri ya Bgamoyo, Mohamed Usinga akiongoza msafara wa Madiwani wa Halmashauri hiyo kutembelea ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa ukaribisho maalum wa Mbunge wa Bagamoyo, Muharam Mkenge.
Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo, wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, pamoja na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallaah Ulega, nje ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya Madiwani hao kutembelea bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge.
Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo, wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliam Lukuvi, nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya madiwani hao kutembelea Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge.
Mbunge wa Jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge. (kulia) akitoa akiwatambulisha wageni wake (Madiwani wa Halmashauri ya Bagamoyo) kwa Wawaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi pamoja na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallaah Ulega mara baada ya Madiwani hao kutembelea Bungeni.
Madiwani wa
Halmashauri ya Bagamoyo, wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa jimbo la Bagamoyo, Muharam Mkenge pamoja na Mbunge wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, nje ya ukumbi wa Bunge.